The reliable source of sport news

Jumamosi, Julai 20, 2013

Manchester United yaongeza dau kwa Cesc Fabregas

20.7.13 By Unknown No comments

Imeripotiwa hivi mapema kwamba Manchester United imeongeza dau la kumnyakua mchezaji wa Barcelona Cesc Fabregas hadi Pauni milioni 30 kujumlisha na nyongeza nyingine zote.

Kocha wa Mashetani wekundu David Moyes, ameona umuhimu wa kuleta kiungo mwingine katika timu hiyo muda huu dirisha la usajili wa majira ya joto likiwa bado wazi. Katika kuchunguza kwake ameona Cesc Fabregas atamfaa kwa kazi yake. Awali Manchester United ilitenga kiasi cha pauni milioni 25 kiasi ambacho kilikataliwa na Barcelona, lakini Jumamosi wameboresha dau lao ili kuweza kuwashawishi Mabingwa hao wa ligi ya Hispania kumwachilia kiungo huyo wa kimataifa aliyeondoka Arsenal msimu wa majira ya joto wa mwaka 2011

Litakuwa ni jambo la kuvutia sana kuona ni jinsi gani Barcelona watapokea ofa hiyo mpya kufuatia tamko la Makamu wa rais wa klabu hiyo kusisitiza juzi Ijumaa kwamba Fabregas haendi kokote.

Aliongea kupitia Gazeti la Daily Sport la Hispania kwa kusema maneno haya "Barcelona haitasikiliza wala kupokea ofa yoyote inayomuhusu Cesc. Swala hilo haliwezekani na Hauzwi"
Red Devils' chief David Moyes has stressed the importance of bringing in at least one new midfielder during this transfer window and Fabregas is one of his top targets. United had an initial £25 million bid snubbed by Barca last week but it appears that an improved offer has now been made on Saturday as they look to test the Spanish champions' resolve to keep the player they signed from Arsenal in summer 2011. It will be interesting to see how Barcelona react to this fresh offer following the club's vice president Josep Maria Bartomeu insisting on Friday that Fabregas is going nowhere. He told Spanish daily Sport: "Barcelona can assure you we will not entertain any offers for Cesc. It is totally ruled out, he's not for sale."

Read more at: http://www.clubcall.com/manchester-united/red-devils-increase-fabregas-offer-1608664.html

0 comments:

Chapisha Maoni