The reliable source of sport news

Jumatatu, Novemba 18, 2013

BENDTNER ARSENAL SIO HADHI YANGU

18.11.13 By Unknown No comments

Mshambuliaji wa Arsenal Nicklas Bendtner ambaye kwa sasa anasugua benchi ametoa ya moyoni kwa kusema kwa hadhi yake hastahili kuwekwa benchi arsenal.

Kauli hiyo ya Bendtner imekuja mara baada ya mashabiki wa Arsenal kumzomea katika baadhi ya mechi alizoichezea aaaaarsenal msimu huu.
Tangu arudi uwanjani msimu huu mshambuliaji huyo amechiza dakika 38 katika ligi kuu na dakika 5 pekee katika mechi za Champion Ligi.

0 comments:

Chapisha Maoni