The reliable source of sport news

Alhamisi, Novemba 07, 2013

GUNNERS HIYOO KILELENI GROUP F

7.11.13 By Unknown

Timu ya arsenal jana iliibuka kidedea baada ya kuichapa borrusia dortmund bao moja nunge. Goli la arsenal lilitiwa kimyani na kiungo wao machachari Aaron Ramsey. Kabla goli hilo the gunners walionekana kuelemewa sana, lakini Ramsey aka Rambo alibadilisha mchezo kwa kutupia wavuni kichwa safi akiunganisha mpira uliogongwa kwa kichwa na Giroud. Baada ya mchezo huo Arsenal inaongoza group F ikiwa na point tisa mbele ya Napoli yenye point tisa ila kwa tofauti ya magoli.

0 comments:

Chapisha Maoni