Aliyekuwa kocha mkuu wa Azam Fc bwana Stewart amejiuzuru jana mara baada ya mchezo kati ya Azam na Mbeya City.
Bwana Stewart alipoulizwa sababu ya kujiuzuru alisema hana tatizo na uongozi wa Azam ila ameamua tu.
Kwa habari za chinichini kutoka kwa watu wake wa karibu inasemekana amepata dili na timu nyingine.





0 comments:
Chapisha Maoni