The reliable source of sport news

Jumapili, Novemba 10, 2013

PRESHA INAZIDI KUONGEZEKA KATI YA ARSENAL NA MAN UTD

10.11.13 By Unknown No comments

Kadri muda unavyokwenda presha inazidi kuongezeka kwa mashabiki wa timu zote mbili.

Man utd wakiwa nyumbani wanawaalika vijana wa Wenger Old Traford. Hata hivyo mechi ya leo imekuwa ngumu sana kutabilika kutokana na timu zote mbili kuwa katika form. Man utd haijafungwa michezo nane mfululizo huku Arsenal wakiwa juu ya msimamo wa ligi kwa point 25.

Arsenal imeshinda mechi mbili tu kati ya mechi 16 walizokutana huku Man utd wakiwa na record ya kushinda mechi 10 na droo nne.

Manchester United (Possible,
4-2-3-1): De Gea; Smalling, Jones,
Vidic, Evra; Carrick, Cleverley;
Valencia, Rooney, Januzaj; Van
Persie.
Out: Fletcher (illness), Welbeck
(knee).
Tests: Rafael (ankle), Evans (back).

Arsenal (Possible, 4-2-3-1): Szczesny;
Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs;
Arteta, Flamini; Rosicky, Özil, Cazorla;
Giroud..
Out: Walcott (abdominal surgery),
Sanogo (back), Podolski (hamstring),
Oxlade-Chamberlain, Diaby (both
knee).
Tests: Flamini (groin), Wilshere
(ankle).
Referee: Michael Oliver. Matches: 6,
R0 Y25.
Related Articles

0 comments:

Chapisha Maoni