The reliable source of sport news

Jumatano, Novemba 06, 2013

MAN U WATOSHANA NGUVU NA R.SOCIEDAD

6.11.13 By Unknown

R.Sociedad jana walipata point yao ya kwanza katika mechi nne ilizocheza katika ligi ya magingwa ulaya baada ya kutoka suluhu na miamba ya ligi kuu ya uingereza Man u.
Katika mechi hiyo mshambuliaji hatari wa Man Robin Van Persie alikosa penalt waliyoipata baada ya Ashley Young kujiangusha katika katika eneo la hatari.


Hata Hivyo Man united inaongoza kundi A ikiwa na point nane, Chicharito alipoteza nafasi ya wazi ambayo ingeweza kuwasaidia mashetani wekundu kuibuka na ushindi ugenini.

0 comments:

Chapisha Maoni