Gareth Bale amefunga goli lake la kwanza la champion league akiwa na kikosi cha Real Madrid pale walipotoka sare ya 2-2 na Juve. Gareth Bale alifunga goli dakika ya 60 ya mchezo . Hata hivyo dakika ya 65 Fernando Llorent aliondoa furaha hiyo ya Blancos kwa kuisawazishia timu yake.




0 comments:
Chapisha Maoni