The reliable source of sport news

Jumanne, Novemba 05, 2013

LIGI YA MABINGWA ULAYA KUTIMUA VUMBI LEO

5.11.13 By Unknown

Ile ligi ya wababe wa ulaya itaendelea tena leo wakati miamba nane toka bala hilo itakapovutana mashati katika viwanja vinne tofauti.

Real Madrid Vs Juventus
Vijana wa Carlo Anceloti leo wataingia dimbani kumenyana na Juve wakiwa na nyota wao wakali kama G.Bale na CR7 ambao wapo kwenye form kwa sasa. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa 4:45 usiku kwa saa a Afrika Mashariki, pia kwa wapenzi wa dstv mechi hiyo itaonyeshwa na kituo cha sss3.


Man U Vs R.Sociedad
Mechi kali nyingine itakuwa ni kati ya mashetani wekundu Man U dhidiya R.Sociedad ya Spain iatakayoanza majira ya saa 4:45 kwa masaa ya Afrika Mashariki. Kocha wa R. Sociedad Jagoba Arrasate amesema leo wana nafasi kubwa sana ya kuibuka washindi. Mpaka sasa R. Sociedad hawana point mkononi na watatolewa kwenye magroup kama wakipigwa mechi ya leo.


Mechi zingine zitakazopigwa leo hii ni kati ya Man City Vs CSKA Moscow na PSG Vs Anderletch.

0 comments:

Chapisha Maoni