The reliable source of sport news

Jumapili, Novemba 03, 2013

ARSENAL WAILAZA LIVERPOOL 2-0

3.11.13 By Unknown



Vinara wa ligi kuu ya England Arsenal the Gunners jana waliibuka kifua mbele baada ya kuilaza Liverpool mabao mawili kwa bila.
Goli la kwanza la Arsenal lilifungwa na mhispania S. carzola mapema katika kipindi cha kwanza. Kipinfi cha pili Liva walibadilika
na kuja kwa kasi sana kiasi cha nusura kurudisha goli.
Kipindi cha pili Arsenal iliongeza bao la pili kupitia kwa kiungo wao mahili Ramsey baada ya kupokea pasi maridadi kutoka kwa Ozil.
Combination ya SAS jana ilishindwa kufanya kazi vizuri.


0 comments:

Chapisha Maoni