Uhamisho wa kuvunja
rekodi za soka utafanyika pale Real Madrid itakapomsajili nyota wa Tottenham
Gareth Bale, lakini Je,winga huyo ana thamani ya pauni milioni 85 kweli?
Real Madrid haina shaka
katika hili fedha yake inaweza kwenda kihalali, lakini watoa wataalamu wa soka
Sportmail wamechangia maoni yao na hawakubaliani na miamba hao wa Hispania.
Haya ni maoni
yaliyotolewa ambayo KILA MTU anazumngumzia, endelea kusoma uone:
MARK ALFORD
Ndiyo, hiyo ni thamani yake kwa Real Madrid. Ni mchezaji mdogo, mwenye Swaga, anafunga magoli bora, na anauzika sokoni pia ana magoli yanayofaa kwenye matangazo. Ukilipa pauni milioni 85 atazilipa kwa magoli, T shirt na matangazo ya kwenye TV.

Ana uzoefu mkubwa, na anacheza soka la kimataifa ingawa amecheza mara nane tu kwenye michuano ya ligi ya Mabingwa.
JOHN EDWARDS
Endapo ataendelea na kasi yake ya Tottenham, akisaidiana na Cristiano Ronaldo, Real Madrid itakuwa ni timu isiyoshikika na fedha yao itakuwa imekwenda kwa haki. Muunganiko wa Bale na Ronaldo akitokea upande mwingine utamchanganya beki yeyote Yule atakaye kutana na timu hiyo.

CHRIS WHEELER
Hapana kabisa. Bale ni mchezaji mkubwa na mahiri lakini thamani ya pauni milioni 85 anastahili Cristiano Ronaldo nay eye si Cristiano Ronaldo. Ingawa Bale amekuwa na msimu mzuri Tottenham na amekuwa mchezaji bora, Cristiano Ronaldo alifanya hivyo pia kwa Manchester United na Real Madrid. Kuna uwiano kati ya wachezaji hao wawili lakini Bale atakuwa wa pili kila mara.

DOMINIC KING
Ana thamani hiyo? Huu si uwezo wa Bale: ni mchezaji mwenye viwango, kasi, na mashuti yenye nguvu. Lakini awe na thamani kuliko Cristiano Ronaldo? Ah! Haiwezekani kamwe. Kama kweli Gareth Bale angekuwa na thamani kama hii angeiwezesha Tottenham kufuzu nne bora Ligi kuu ya Uingereza na kupata nafasi ya kucheza Ligi ya mabingwa.

SAM CUNNINGHAM
Ndiyo. Ana kila sifa ya kuwa mchezaji bora kama Ronaldo. Subira, uwezo wa kudribo na kuwashtua walinzi, sifa hizi zinamwezesha kufunga akitokea upande wowote kwa namna yoyote ile, pia bado ana nafasi ya kufanya vizuri zaidi mbeleni.

COLIN YOUNG
Kwa Spurs na wote wanaowasapoti, Bale hana thamani. Na unaweza ona jinsi Levy anavyopanga bei kumzima kila mtu. Ikiwa Real Madrid imedhamiria inaweza kulipa kiasi hicho cha fedha, lakini kusema ukweli kabisa hakina mchezaji mwenye thamani hiyo. Kiasi cha pauni milioni 50 hivi kinaweza kuwa sawa kwa kiwango cha Bale.

RIATH AL-SAMARRAI
Ni mbadilishaji mzuri wa mchezo katika mpira wa Uingereza. Lakini sidhani kama ana thamani hiyo.

0 comments:
Chapisha Maoni