BORA kwako kucheza kwenye Uwanja usio na mashabiki wa kutosha Tbilisi, au kuhamia Bernabeu Madrid?
Unataka kucheza Ligi ya Mabingwa au
Europa League? Usiku wa Jumatano katika ITV1 au Alhamisi usiku katika
ITV4? Huna akili, sawa?
Hiyo ndiyo picha ya Gareth Bale mjini
London Alhamisi usiku, akiangalia wachezaji wenzake kwenye TV wakicheza
mechi ya kwanza ya Europa League kuwania kucheza hatua ya makundi ya
Kombe la UEFA ndogo dhidi ya Dinamo Tbilisi.
Dinamo Tbilisi: Loria, Khurtsilava, Giorgi Gvelesiani, Kvaratskhelia, Glisic (Papava 46), Grigalashvili, Dzaria, Kvirkvelia, Merebashvilli, Xisco (Vouho 42), Dvali.
Katika mchezo huo, ilishinda 5-0, mabao yake yakiwekwa nyavuni na Townsend dakika ya 12, Paulinho dakika ya 44, Soldado dakika ya 58 na 67 na Rose dakika ya 64.
Kikosi cha Spurs jana kilikuwa: Lloris, Naughton, Dawson, Kaboul, Rose, Paulinho/Carroll dk71, Dembele, Capoue, Sigurdsson/Chadli dk61, Townsend, Soldado/Kane dk71.

Mtu wa raha: Andros Townsend (kulia) akishangilia na Soldado

Soldado akiifungia bao la tatu Spurs

Danny Rose akifunga

Soldado akimtungua Nacer Chadli kwa krosi ya Loria

Jezi nyeupe zinang'ara: Spurs wakishangilia bai la Rose

Anabinuka: Paulinho anabinuka kupiga mpira mbele ya mchezaji wa Dinamo kwenye boksi




0 comments:
Chapisha Maoni