The reliable source of sport news

Jumapili, Agosti 04, 2013

Wayne Rooney abadili msimamo, Adai anataka kubaki Manchester United

4.8.13 By Unknown No comments

Jarida la The Daily Star pia limeripoti kwamba Chelsea itaongeza ofa yao kwa ajili ya nyota wa kimataifa wa Uingereza hadi pauni milioni 40. Hata hivyo Jose Mourinho aliwaambia maripota kwamba Torres hawezi kufanya muujiza wowote msimu ujao lakini Chelsea inapaswa kumbeba. Aliyekuwa shabaha ya Chelsea ya awali, Radamel Falcao ameiwezesha AS Monaco kuisambaratisha Spurs kwenye mechi za kirafiki za kujiandaa kuanza msimu. Tetesi za usajili zinaendelea lakini inaonekana sasa kwamba Wayne Rooney anaweza kubaki Manchester United msimu ujao.

0 comments:

Chapisha Maoni