The reliable source of sport news

Jumamosi, Agosti 17, 2013

Liverpool waanza kwa ushindi

17.8.13 By Kapoma No comments

liverpool 3af07
Timu ya soka ya Livepool leo imeanza vizuri katika mchezo wake wa kwanza wa liku kuu ya Uingereza kwa kuifunga Stock City goli moja. Mfungaji wa goli hilo alikuwa ni Daniel Sturridge aliyefunga dakika ya 37.

0 comments:

Chapisha Maoni